The House of Favourite Newspapers

PataPata na Tigo Yakabidhi Milioni 10 Kwa Washindi Wawili

0

Meneja Uendeshaji kutoka The network limited, Lumuliko Mengele na kulia ni Fabian Felician, Meneja biashara huduma za tigo pesa wakimkabidhi hundi mshindi wa milioni tano Mathias Turoka mara baada ya kushinda katika mchezo huo.

Kushiriki mchezo huu wa PataPata, mteja anatakiwa kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa na kuchagua Lipa bili, halafu anaingia namba 7, anachagua namba 1 PataPata, na kuingiza namba za boksi alizochagua kati ya 1 hadi 6, vilevile atakatwa sh. 300. Baada ya hapo atapata majibu kama ameshinda na zawadi yake itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa. Mathias Turoka kutoka Dodoma mshindi wa Milioni 5 kutoka Pata Pata na Tigo Pesa. Unadhani ni mangapi ambayo Mathias atayatimiza kupitia pesa aliyoshinda?

Hata wewe unaweza kuwa mshindi shinda hadi Tsh 100,000 papo hapo, Milioni 1 kila siku na millioni 10 kila mwezi.

Meneja Uendeshaji kutoka The network limited, Lumuliko Mengele na kulia ni Fabian Felician, Meneja biashara huduma za tigo pesa wakimkabidhi hundi mshindi wa milioni tano Bwn Urembo kutoka DSM, mshindi wa Milioni 5.

Kushiriki mchezo huu wa PataPata, mteja anatakiwa kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa na kuchagua Lipa bili, halafu anaingia namba 7, anachagua namba 1 PataPata, na kuingiza namba za boksi alizochagua kati ya 1 hadi 6, vilevile atakatwa sh. 300. Baada ya hapo atapata majibu kama ameshinda na zawadi yake itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa.

Bwn Urembo kutoka DSM, mshindi wa Milioni 5

Unadhani ni mangapi ambayo Urembo na yeye atayatimiza kupitia pesa aliyoshinda mwezi huu wa januari? Hata wewe unaweza kuwa mshindi shinda hadi Tsh 100,000 papo hapo, Milioni 1 kila siku na millioni 10 kila mwezi.

Leave A Reply