The House of Favourite Newspapers

Patrick Kanumba Akazia Sakata la Mama Kanumba

0

Ni ‘headlines’ za msanii wa filamu Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba ambaye ametoa ‘comment’ yake kuhusu kinachoendelea mitandaoni kati ya majibu aliyoyoyatoa Mama Kanumba kwa Elizabeth Michael kuhusu kifo cha mwanaye Steven Kanumba.

 

 

Patrick Kanumba amesema ni kweli alikuwa mtu wa karibu na marehemu Steven Kanumba ila tayari mama yake mzazi ameshasema hivyo hawezi kumpinga na hawezi kuwa upande wowote.

 

 

“Mimi namjua Kanumba tu, nilikuwa mtu wake wa karibu na ananihusu, ila yule ndiyo mama wa marehemu na ameshamaliza kila kitu hivyo siwezi kupinga wala kuwa upande wowote kwa sababu ameshatangulia hivyo tuendelee kumuenzi marehemu,” amesema Patrick Kanumba.

Leave A Reply