The House of Favourite Newspapers

PENNY AFUNGUKA YA KUSHANGAZA

Penieli Mungilwa ‘Penny’

ALIYEKUWA mtangazaji wa EFM Radio ambaye pia ni DJ, Penieli Mungilwa ‘Penny’ amefunguka ya kushangaza kuwa ni ngumu kwake kuacha  kupekua simu ya mpenzi wake labda mambo hayo ataacha siku akiingia kwenye ndoa.  Akizungumza na Za Motomoto, Penny alisema kuwa, sababu inayomfanya kupekuwa mara kwa mara simu ya mpenzi wake ni kutokana

na kushindwa kuvumilia ‘vimeseji vikiingia’. “Jamani mambo ya kutokagua simu za wapenzi wanaweza wanandoa sisi ambao hatujaolewa hayatuhusu kabisa,” alisema Penny

Comments are closed.