The House of Favourite Newspapers

Pesa, Pesa, Pesa Ipo Huku Meridianbet Kupitia Mechi za Europa

0

Kijana wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto. Lakini mimi nakwambia hivi ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kupata pesa kwenye mechi hizi za Europa za leo kwani kwa dau dogo tuu unaweza kupata mkwanja wa maana wa kukufanya wewe kuwa Milionea wakati huu.

Macho yote yatakuwa pale dimba la Aker ambapo Molde atamualika Bayer Leverkusen ambaye ndiye kinara wa Bundesliga akiwa na msimu mzuri kabisa kwenye mechi zake zote. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Bayer akiwa na ODDS ya 1.42 huku mwenyeji akipewa ODDS ya 6.46. Bashiri mechi hii sasa.

Aris Limassol FC ambaye ana ODDS ya 3.38 atamleta nyumbani Glasgow Rangers mwenye ODDS ya 2.03. Mwenyeji ametoka kupoteza mchezo wa kwanza huku mgeni akipata ushindi wa kwanza. Nani kuondoka na alama hizo zote? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Kimbunga kitavuma pale dimba la TSC Arena, TSC Backa Topola ambaye atamleta nyumbani Olympiacos kutoka Ugiriki akiwa na ODDS ya 1.55. Timu zote zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza. Nani kuondoka na ubabe leo?

Habari njema ni kwa wale wateja wa USSD na kitochi kwani Meridianbet kwasasa wameongeza pesa kwenye ile Jackpoti yao na kufikia Milioni Mia Mbili, 200,000,000. Piga *149*10# ubashiri na Mabingwa wa ubashiri Tanzania, bila kusahau kuwa ONLINE pia ipo.

Villarreal ambaye anapata misukosuko kwenye michuano yote, leo tena atarejea dimbani kusaka pointi tatu kwenye Europa dhidi ya Rennes kutoka Ufaransa. Mgeni anaongoza kundi hilo baada ya kushinda mchezo wa kwanza. Je leo hii Nyambizi watakubali kichapo wakiwa nyumbani? ODDS KUBWA zipo mechi hii pia.

Baada ya kupoteza mechi ya kwanza Real Betis kutoka Hispania itakuwa mwenyeji wa Sparta Prague ambaye alishinda mechi yake ya kwanza. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mchezo huu Betis aiwa na ODDS ya 1.77 kwa 4.21. Wewe beti yako unaipeleka kwa nani?

Vijana wa Mourinho, AS Roma watamkaribisha Servette Geneva huku Roma kushinda mchezo huu amepewa ODDS ya 1.20 kwa 12.74. Je timu hiyo yenye Lukaku, Dybala na wengine itapata ushindi wa pili mfululizo kwenye michuano hii? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Kwingineko ni huko Ureno ambapo Sporting Lisbon atakipiga dhidi ya Atalanta huku timu zote zikishinda mechi zao za kwanza. ODDS ya kubaki na pointi tatu kwa Lisbon ni 2.25 na mgeni akuondoka nazo ni 3.04. Nani ni nani leo? Kivumbi hicho ni saa 1:45 usiku.

Wakati Ajax baada ya kutoa sare ya kufungana mechi yake iliyopita, leo hii yupo ugenini dhidi ya AEK Athens mwenye ODDS ya 2.17. Timu hiyo kutoka Uholanzi imekuwa ikipitia wakati mgumu sana kwenye michuano yote. Je leo itafanya nini kwenye mechi yake ya pili? Mechi hii ina machaguo mengi sana.

 

Leave A Reply