The House of Favourite Newspapers

Picha 5 za Sethi Singh na Biblia, Kitabu cha Mandela akienda ‘Segerea’

0
PICHA 5 za Sethi Singh zikimuonesha akipanda kwenye Karandinga la Magereza kwenda ‘Segerea’ akiwa ameshika Biblia na kitabu cha ‘MANDELA , THE AUTHORIZED PORTRAIT’ ambacho kinaelezea historia ya maisha ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela aliyekaa gerezani kwa muda wa miaka 25 kabla ya kuwa rais.

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

==

Akina Rugemalila, Malinzi na Wenzake Kortini, Lissu Atoa Neno Sheria ya Mtandao

Leave A Reply