The House of Favourite Newspapers

Picha: Majimaji Yatoshana Nguvu na Prisons

0
Mshambuliaji wa Majimaji, Bonivanture Marcel akizungumza na mtangazaji wa Azam TV mara baada ya mchezo wa Majimaji dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

TIMU ya Majimaji ya Mjini Songea, juzi ilitoka sare ya bao 2-2 na Timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ulipigwa katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Majimaji ambayo ni moja ya timu kongwe nchini Tanzania, inayodhaminiwa na Kampuni ya Mchezo ya Kubashiri ya Sokabet.

Leave A Reply