The House of Favourite Newspapers

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara Anaoa Mke wa Pili Dar, Mastaa Wampongeza

0
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa na mke wa pili Aprili 14, 2022.
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa anaoa mke wa pili Aprili 14, 2022.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameshare picha chache za yeye pamoja na mke wake katika shughuli ambayo ameifanya

Mwaka 2020 alifunga ndoa na Mke wake wa Kwanza aitwae Naheeda na Huyu anakua Mke wa Pili kwenye maisha yake ya Ndoa

Global Digital inakupongeza Haji Mnara  kwa hatua hii kubwa kwenye maisha yako! Mungu awatangulie na ikawe heri daima

Kupitia mtandao wa Insta mastaa wa Bongo wameposti picha hizo na kumpongeza Haji Manara.
Mastaa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na Haji Manara na mkewe baada ya kufunga ndoa.
…Akiwa na mke wake wa pili baada ya kufunga ndoa.

Leave A Reply