PICHA: TP Mazembe Walivyopasha Kabla ya Mechi Taifa
Kikosi cha timu ya TP Mazembe ya DR Congo wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba katika Uwanja wa Taifa .
Kikosi cha timu ya Tp Mazembe
- Sylvan Gbohouo Guelassiognon
- Joseph Ochaya
- Treso Mambi
- Chongo Kabaso
- Kevin Zatu
- Koffi KOUAME
- Jackson Muleka
- Rainford Kalaba
- Godet Masengo
- Sissoko Abdoulaye
- Michee Mika
Picha na Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
Comments are closed.