The House of Favourite Newspapers

Picha za Dimpoz, Nandy zatikisa Insta

0

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz,   ameweka picha zenye utata kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na msanii mwenzake wa muziki wa Bongo Fleva mwanadada Nandy wakiwa katika mapozi ya kimahaba huku zikisindikizwa na maneno ya Happy New Year.

Dimpoz amesema picha hizo si za mapenzi bali walikuwa kazini nchini Mombasa, Kenya, kwenye ‘scene’ ya video yake mpya.

Leave A Reply