The House of Favourite Newspapers

Pichaz: King Kiba Alivyosherehekea Birthday Yake Kwenye Hifadhi ya Serengeti

alikiba-bday-3

Alikiba akipokea keki.
alikiba-bday-5

King Kiba akikata keki.

alikiba-bday-10

Kiba akimlisha keki Baraka Da Prince.

alikiba-bday-4

Baraka Da Prince, Seven Mosha na Alikiba wakiwa katika sherehe hizo.

alikiba-bday-6

Kiba akiserebuka.

alikiba-bday-7

alikiba-bday-1

Kiba akiwalisha keki wageni waliohudhuria hafla hiyo.

alikiba-bday-8 alikiba-bday-9

Sherehe zikiendelea.

Mwanamuziki Ali Saleh Kiba “Alikiba” jana amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ‘Birthday’ wakati akitimiza miaka 30 ya kuzaliwa.

Kiba aliyezaliwa Novemba 29, 1986 aliamua kusherehekea siku hiyo tofauti na mastaa wenzake kwa kufanya sherehe hiyo akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

King Kiba ametupia picha kadhaa kupitia akaunti yake ya Instagran akiwa Sayari Camp, Kogatende ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti akiwa na staa mwenzake Baraka Da Prince na meneja wao Seven Mosha pamoja na wananchi wengine walioshiriki hafla hiyo.

halotel-strip-1-1

Comments are closed.