The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Shein Ziara ya Kikazi Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali wakiwemo watendaji wa Serikali ya Mapinduzi, Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya na Maafisa Wadhamini wakati wa ziara yake ya kukagua na kuhamasisha maendeleo kisiwani hum oleo Aprili 2, 2017. Kushoto, ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid Abdalla

 

Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Khalid Salum Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo
Baaadhi ya viongozi na wadu wa maendeleo wakisikiliza jambo kwa makini.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Khamis Othman alipokuwa akielezea changamoto mbali mbali zilizokuwemo katika Mkoa wake wakati wa Mkutano wa Viongozi mbali mbali wa Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba Mhe,Abeid Juma Ali alipokuwa akichangia katika Mkutano wa Viongozi mbali mbali wa Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba.
Mkuuwa Wilaya ya Chakechake, Mhe, Salama Mbaraouk Khatib alipkuwa akizungumzia migogoro ya Ardhi iliyopo katika Wilaya yake katika katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi mbali mbali na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini, Mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba

 

Comments are closed.