The House of Favourite Newspapers

Polisi Wanaotuhumiwa Kuua Wafikishwa Mahakamani

0
Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara ambao wanatuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa leo Feb 8, 2022 wakiwa chini ya ulinzi mkali.
 

Leave A Reply