The House of Favourite Newspapers

Polisi Yanasa Matapeli wa Magari Wakimuibia Mama Benki – Video

WATU watatu wanaodaiwa kuwa ni matapeli wa magari wamenaswa na Jeshi la Polisi maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam, walipokuwa wakijaribu kumtapeli mama mmoja.

 

Global TV Online imefika eneo la tukio na kuzungumza na mashuhuda wa tukio hilo ambao wamesimulia A-Z kilichotokea mpaka watu hao wakakamatwa.

 

Comments are closed.