The House of Favourite Newspapers

Poshy Awachukia Kweli Wanawake!

0

MREMBO ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umbo lake kuonekana kuwavutia watu mbalimbali, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amefunguka kuwa wanaoongoza kwa chuki na roho mbaya ya kumchukia na kumzushia maneno ni wanawake wenzake na siyo wanaume.

 

Akizungumza na Risasi Vibes, Poshy alisema kuwa, amegundua kuwa kuna watu wengi au wanawake wengine hawapendi kuona mwingine anaendelea, hivyo kumuwekea kila aina ya chokochoko ili kumtibulia mambo yake, jambo ambalo linamkera.

“Watu tu wanashindwa kuelewa kuwa huku duniani kila mtu ana bahati yake, hivyo ukiona mwenzako anafanikiwa au mwanamke mwenzako anafanya vizuri, mshike mkono uzidi kumfanya ainuke ili akuinue na wewe na sio kumponda kila kukicha maana huo unaitwa ni wivu, tena wivu usiokuwa na maendeleo kabisa,” alisema Poshy, ambaye hivi karibuni habari zake zilisambaa mitandaoni kuwa ana ujauzito wa mwanamuziki Diamond jambo ambalo.

STORI Imelda Mtema, Risas

Leave A Reply