Pumzika Mama Abdul, Hivi Ndivyo Alivyozikwa – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul leo Januari 28, 2019 umepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Chang’ombe Maduka Mawili jijini Dar es Salaam.










Picha: Na Richard Bukos | Global Publishers


Comments are closed.