The House of Favourite Newspapers

Q Chilla Atoa Burudani ya Kipekee Tamasha la Fiesta

0
Msanii wa Bongo Fleva, Q Chilla, akiwa stejini.
…Akichombeza ili kuwanyanyua mashabiki (hawapo pichani).
…Akiimba kwa hisia na msanii mwenziye wa Bongo Fleva, Jux.
Jux akimsikiliza kwa makini Q Chilla.

Msanii Q Chilla amemsifia msanii mwenziye wa Bongo Fleva, Jux, kwa kuwa mfano bora wa kuigwa katika tasnia hiyo ya burudani ambapo alipata fursa ya kuimba naye stejini katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.

PICHA: MUSA MATEJA/GPL

Leave A Reply