The House of Favourite Newspapers

Lina Sanga, Barnaba Waibuka Stejini Pamoja Fiesta

0
Msanii wa Bongo Fleva, Barnaba Classic, akitumbuiza jukwaa la Fiesta.
Msanii wa Bongo Fleva, Lina Sanga, akionyesha umahiri wake katika Fiesta.
…Akiongea na mashabiki.

Wanamuziki Barnaba Classic na Lina Sanga ambaye ametoka kujifungua hivi karibuni, walifanya shoo ya pamoja katika Tamasha la Fiesta.

(PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)

Leave A Reply