The House of Favourite Newspapers

Q-Chillah atambulisha bendi yake Bilicanas

0

 

1Q-Chillah akitunzwa fedha na baadhi ya mashabiki zake waliojitokeza kwenye uzinduzi huo.

2Mfalme wa miondoko ya taarab, Mzee Yussuf, akiimba kwenye utambulisho huo.

3Mmoja wa wasanii wa filamu Bongo, Rado, akimtunza Q-Chillah.

4Q-Chillah akitunzwa Dola za Marekani na Mkurugenzi wa QS International Band, QS Mhonda J.

5Q-Chillah akiwadhihirishia mashabiki wake namna anavyoweza kuliteka jukwaa.

6Safu ya waimbaji wa QS International Band wakiwajibika.

7Msanii wa Bongo Fleva, Mb-Dogg, (suruali nyekundu) akifurahi na shabiki wake.

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva aliyepotea, Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’, usiku wa kuamkia leo ameanza safari yake mpya ya mafanikio kwa kutambulisha bendi mpya itakayokwenda kwa jina la QS International Band.

Utambulisho huo uliohudhuliwa na mashabiki kibao ulifanyika ndani ya Ukumbi wa Bilicanas eneo la Posta jijini Dar es Salaam, akisindikizwa na mfalme wa miondoko ya taarab, Mzee Yussuf, Mb-Dogg na wasanii wengine chipukizi.

(Habari/ Picha : Musa Mateja/GPL)

Leave A Reply