The House of Favourite Newspapers

Rais Ajiuzulu Kisa Katiba Haimpi Mamlaka ya Kutosha

0

Rais Armen Vardani Sarkissian wa Armenia ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini katiba ya nchi hiyo haimpi madaraka ya kutosha kushawishi matukio.

Mwaka 2021 kulitokea Mvutano kati ya Rais Sarkissian na Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Nikol Pashinyan kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo kuondolewa kwa Mkuu wa Jeshi.

Nafasi ya Waziri Mkuu inaonekana kuwa kubwa zaidi kuliko ile ya Rais.

Leave A Reply