Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dares salaam. Januari14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 14 Januari, 2020


Loading...

Toa comment