The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt.Samia Ateta na Uhuru Kenyatta Ikulu Tunguu Zanzibar

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar Februari 22, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar Februari 22, 2024.

Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar Februari 22, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na  Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Tunguu Zanzibar.
Leave A Reply