The House of Favourite Newspapers

JPM AFUNGUA MKUTANO VYAMA VYA SIASA AFRIKA

RAIS  John Magufuli leo amefungua mkutano wa kimataifa wa vyama vya siasa ulioandaliwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam.

Rais John Magufuli  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa kutoka nchi kadhaa za Afrika na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam.
…Wajumbe wa mkutano wakimsikiliza.

 

Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC),  Song Tao,  akizungumza katika mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, akitoa hutoba.

Washiriki wa mkutano huo wakifatilia hotuba mbalimbali mkutanoni.
Magufuli akiagana na  Song Tao mara baada ya kufungua mkutano huo.

Comments are closed.