The House of Favourite Newspapers

Rais JPM Amteua Dk. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa

0

Rais Magufuli

Rais Dk. Magufuli.

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.

Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Kipilima

Dk. Modestus Kipilimba, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Usalama wa taifa

 

Leave A Reply