The House of Favourite Newspapers

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

0

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda (RDB). Ivan aliteuliwa wiki jana na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Édouard Ngirente, kuwa mjumbe wa bodi na Mkurugenzi wa RDB.

 

Kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo Mkurugenzi wa RBD anateuliwa na ofisi ya Waziri Mkuu lakini uteuzi wake unathibitishwa na Rais.

 

Ivan ana elimu ya masuala uchumi aliyopata katika vyuo vikuu nchini Marekani.

 

Leave A Reply