The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI AFIKA NYUMBANI KWA TARIMBA KUMPA POLE (PICHA+VIDEO)

Rais Magufuli (kulia) akimpa mkono wa pole Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya SportPesa, Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni.
Rais Magufuli akisalimiana na mke wa Bw. Abbas Tarimba Abbas.
Rais Magufuli akizungumza na Bw. Abbas Tarimba Abbas.
Rais Magufuli akiagana na Bw. Abbas Tarimba Abbas.

Rais Magufuli leo amefika nyumbani kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya SportPesa, Abbas Tarimba Abbas Kinondoni jijini Dar es Salaam kumpa pole baada ya hivi karibuni kufiwa na watoto wake wawili. Mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwingine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.