The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Aivunja Bodi ya Wadhamini ya TAMESA

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere iliyotikea tarehe 20 Septemba, 2018 katika ziwa Victoria, Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TAMESA)

Comments are closed.