The House of Favourite Newspapers

JPM AKUTANA NA DAKTARI WA UPASUAJI WA UBONGO

Rais John Magufuli akisalimiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, Profesa Zhao Yuanil,  kutoka Hospitali ya Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking, China, alipowasili  Ikulu, Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu.
…Akiwa katika mazungumzo na ujumbe uliofuatana na Profesa Zhao Yuanil, pamoja na  Ummy Mwalimu, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Maseru na Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) Respicious Boniface.

 

Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

JPM na Profesa Yuanil wakibadilishana ‘vineno’ kadhaa.

…Akimkabidhi Profesa Yuanil zawadi ya kinyago.  Kulia ni Balozi wa China hapa nchini Wang Ke.
Wakati wa kuagana.

Rais John  Magufuli  leo amekutana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, Prof. Zhao Yuanil, Ikulu Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo.

PICHA NA IKULU

Comments are closed.