The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA QATAR

Rais  John  Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni  Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar,  Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than,  alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
…Akiwa katika mazungumzo na mgeni wake.
…Akimkabidhi zawadi ya kinyago.
…Akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro.

…Akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi (wa tatu kulia).

Rais Magufuli leo amekutana na Naibu Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman J.A Al Thani, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.