The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Amteua Jenerali Davis Mwamnyange

Rais John Pombe Magufuli amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA).

 

 

UTATA! Mwili wa PATRIC Haujulikani Ulipo!

Comments are closed.