HabariKitaifa Rais Magufuli Amuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi za Zima Moto na Mabalozi wanne Last updated Feb 26, 2017 Share Katika Picha ya pamoja leo Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Matrida Masuka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Tukio lililofanyiaka leo Ikulu Dar es Salaam Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli Balozi Abdalla Kilima kuwa balozi wa Tanzania nchini Oman Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli Balozi Silima Haji kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sudan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dkt. Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya. Share
Comments are closed.