The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Amwondoa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma

0

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma.

 

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma. Bw. Mafuru anachukua nafasi ya Bw. Godwin Kunambi.

Leave A Reply