The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Anazungumza na Marais Wastaafu – Video

Rais Dkt John Magufuli amewalika baadhi ya viongozi waandamizi wa zamani wakiwemo marais, makamu wa rais, maspika, mawaziri wakuu na majaji wakuu wakati wa mazungumzo maalumu yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Comments are closed.