The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli apiga simu ‘live’ Clouds 360

1
Tanzania's President elect John Pombe Magufuli addresses members of the ruling Chama Cha Mapinduzi Party (CCM) at the party's sub-head office on Lumumba road in Dar es Salaam, October 30, 2015. Tanzania's ruling party candidate, John Magufuli, was declared winner on Thursday of a presidential election, after the national electoral body dismissed opposition complaints about the process and a demand for a recount. The election has been the most hotly contested race in the more than half a century of rule by the Chama Cha Mapinduzi Party, which fielded Magufuli, 56, a minister for public works. REUTERS/Sadi Said
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha Clouds 360 na kuwapongeza watangazaji wa kipindi hicho  kwa kazi nzuri wanayoifanya.

Rais Magufuli alisema kuwa yeye ni shabiki namba moja wa kipindi hicho na anafurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na Clouds Media Group kama zoezi zima la ‘Malkia Wa Nguvu’ na mengine mengi. Wakiongea na watangazaji wa Clouds 360,  waliwataka nao wakati mwingine waje na wenzi wao katika kipindi na si kila mara waje wenyewe .

Wafanyakazi hicho walimshukuru rais kwa kitendo chake hicho chenye kuonyesha kuwa wanaifanya kazi  yao vizuri lakini pia wanasema ilikuwa faraja kwao kwani wanaamini  kituo hicho kimekuwa cha kwanza kwa rais  kufanya kitendo hicho.

#Repost @cloudstv with @repostapp ・・・ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha #Clouds360 na kuwapongeza Watangazaji hao kwa kazi nzuri wanayoifanya. Mh Rais alisema kuwa yeye ni shabiki namba moja wa kipindi hicho na anafurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na #CloudsMediaGroup kama zoezi zima la #MalkiaWaNguvu na mengine mengi. Wakimalizia kuonge na watangazaji wa #Clouds360 waliwataka nao wakati mwingine waje na wenzi wao katika kipindi sio kila mara waje wenyewe 😂. Tunamshukuru Mh. Rais kwa kitendo chake hichi, hili linaonyesha kuwa tunaifanya kazi vizuri lakini pia ni faraja kwetu kwani tunaamini sisi ndio kituo cha kwanza Mh. Rais kufanya kitendo hiki. Mungu Ibariki Tanzania.

A photo posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on

1 Comment
  1. Vian mkwiche says

    Mmedhihirisha ni wazalendo mpaka raisi magufuli kawapa tano hongera sana

Leave A Reply