The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 10, 2019 ameungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Padre Dkt. Alister Makubi muda mfupi baada ya kushiriki Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Februari, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti ya Ekarsti Takatifu kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mt. Peter, Oysterbay jijini Dar, Padri Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Misa Takatifu leo February 10, 2019.

Comments are closed.