The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

0

1.jpgRais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.ms15.jpgRais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
ms16.jpgRais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.ms17.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete.ms18.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakiondoka makaburini baada ya mazishi.

Picha:Ikulu

Leave A Reply