The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji Nyasa

Rais Magufuli leo 09 Aprili, 2019 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt. Oscar Mbyuzi. Kufuatia uamuzi huo, Rais Magufuli amemteua Jimson Mhagama kushika wadhifa huo, uteuzi huo unaanza mara moja.

Comments are closed.