The House of Favourite Newspapers

RAIS JPM Azindua KITUO cha Afya cha MADABA – Video

RAIS Dkt. John Magufuli leo amezindua Kituo cha Afya cha Madaba mkoani Ruvuma mbacho kimegharimu jumla ya shilingi Milioni 665 ambapo shilingi Milioni 445 zilitumika kwa ajili ya ujenzi na Milioni 220 zimetumika kununulia vifaa.

 

Akizungumza wakati a uzinduzi huo, Rais Magufuli amesema Serikali itaendelea kufanya kazi kuhakikisha inaleta maendeleo huku akitoa rai kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya na hospitali zitumike kama ilivyokusudiwa.

 

Comments are closed.