The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Maria Nyerere

RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamemtembelea mke wa hayati Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere,  nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam baada ya kuhudhuria misa maalumu kumuombea Baba wa Taifa, Julius  Nyerere,  iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Oyster Bay jijini Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 14, 2018.

Rais  John Magufuli na mkewe,  Janeth Magufuli,  wakiwa na waumini wengine katika ibada maalumu ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Kanisa la Mtakatifu Petro,  Oyster Bay jijini Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 14, 2018.
…Wakitoa sadaka.
Magufuli akinunua rosari baada ya kuhudhuria ibada.

 

 

Magufuli na mkewe wakiwa na Maria Nyerere (kulia) na mwanaywe Makongoro Nyerere walipowatembelea nyumbani kwao Msasani jijini Dar es Salaam baada ya misa.

 

Wakongea jambo. 
Janeth Magufuli akizungumza jambo la Maria Nyerere.

Comments are closed.