The House of Favourite Newspapers

KITUO CHA NAMANGA KILIVYOFUNGULIWA NA MAGUFULI, KENYATTA – VIDEO

Rais  John  Magufuli NA Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (katikati) wakielekea upande wa mpaka wa Tanzania  baada ya ufunguzi wa kituo cha kutoa huduma — One Stop Border Post (OSBP) — kwa pamoja upande wa Kenya.
Magufuli akizungumza jambo na watoto wawili kutoka Kenya waliofika kumpokea katika kituo hicho upande wa Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya  leo wamezindua kituo cha pamoja cha huduma ya forodha Namanga Arusha — One Stop Border Post (OSBP)  — ambacho kitasaidia kufanya biashara kati ya Tanzania na Kenya.

Comments are closed.