The House of Favourite Newspapers

Rais Museveni Afanya Ziara Bandari ya Dar

0

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni amefanya ziara katika Bandari ya Dar Es Salaam na Ujenzi wa Reli ya kisasa – SGR katika Stesheni ya SGR.

Rais Museveni amefurahishwa na jinsi Tanzania inavyosonga mbele kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuongeza fursa za biashara na uwekezaji.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi , Makame Mbarawa amesema mradi ujenzi wa mradi wa Reli ya kisasa utaziunganisha Bandari ya Dar Es Salaam na Port Bell nchini Uganda.

Leave A Reply