The House of Favourite Newspapers

Rais Ramia Amteua IGP Sirro Kuwa Balozi Nchini Zimbambwe

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe.
Wakati huo huo pia amempadisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Hamis Kingai kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (CDI).
Leave A Reply