The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aagana na Balozi wa Rwanda Nchini Ikulu Chamwino, Dodoma

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2024 amezungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.
Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 22 Aprili, 2024.

Rais Samia akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania,  Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.

Leave A Reply