The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aelekea Zambia Kuhudhuria Kuapishwa Rais Mteule -Video

0

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule, Hakainde Hichilema.

 

Rais Samia Suluhu Hassan, ameagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule, Hakainde Hichilema.

Leave A Reply