The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Afuturisha Viongozi Pamoja Na Makundi Mbalimbali Ikulu Jijini Dar

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Kuftarisha viongozi pamoja na Makundi mbalimbali ya Kijamii tarehe 12 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2024 amefuturisha wasanii na viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhe. Dkt. Moses Kusiluka wakati wa Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wasanii mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wasanii mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Baadhi ya Wenza wa viongozi ambao walihudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024
Wageni mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.

Leave A Reply