The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Agawa Magari Ya Kubebea Wagonjwa, Vifaa Tiba (Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya (Zanzibar) Nassor Mazrui, pamoja na Wakuu wa Mikoa wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023

Rais Samia akizungumza jambo mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais Samia kipiga makofi mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais Samia akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba mfano wa Ufunguo kwa ajili ya Gari la Wagonjwa la Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais Samia akizungumza jambo kabla kugawa Vifaa Tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kuzindua na kugawa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Leave A Reply