The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akizindua Jengo La Kitega Uchumi – Pemba (Picha na Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Pemba tarehe 09 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation – Pemba visiwani Zanzibar leo Januari 9, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya ziara ya kikazi tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaabani kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lililopo Chakechake Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaabani pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lililopo Chakechake Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chakechake Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) tarehe 09 Januari, 2024.

Leave A Reply