The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Mtendaji wa UNEP – Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Bi. Joyce Msuya na ujumbe wake Ikulu Jijini Dodoma leo.


Leave A Reply