The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ampongeza Rais Aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal

0
Bassirou Diomaye Faye, Rais aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal.

Rais Samia Suluhu Hassan, kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, amempongeza Bassirou Diomaye Faye, Rais aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal akitokea chama cha upinzani.

Rais Samia ameandika:

“I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye Faye, President-elect of the Republic of Senegal, on your victory in the 2024 Senegalese presidential election; and the Senegalese people for a peaceful election. You have my best wishes.

“I am looking forward to continue working together to strengthen the relations between Tanzania and Senegal.”

(Natoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bassirou Diomaye Faye, Rais Mteule wa Jamhuri ya Senegal, kwa ushindi wako katika uchaguzi wa rais wa Senegal wa mwaka 2024; na kwa wananchi wa Senegal kwa kufanya uchaguzi kwa amani. Unazo baraka zangu zote.

“Natarajia kuendelea kufanya kazi pamoja ili kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Senegal.)

 

Leave A Reply