The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TMA

0

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), pia, amemteua Dkt. Emmanuel Jonathan Mpeta kuwa Makamu Mwenyekiti

Amemteua Theobald Maingu Sabi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania

Teuzi zote zimeanza Desemba 10, 2023

Leave A Reply