The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Mariam Chaurembo kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduma

0
                         Mariam K. H. Chaurembo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ndugu Mariam K. H. Chaurembo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma.

Chaurembo anachukua nafasi ya Ndugu Lena Martin Nkya ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Kabla ya uteuzi huu, Chaurembo alikuwa Afisa Utumishi Mkuu, Wizara ya Nishati na amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’wale.

Leave A Reply